Salafus-Swâlih Podcast By Salafiy Tz cover art

Salafus-Swâlih

Salafus-Swâlih

By: Salafiy Tz
Listen for free

About this listen

Salafus-Swâlih ni podcast ya kielimu inayofundisha Uislamu sahihi kwa misingi ya Qur’ani na Sunnah, kwa ufahamu wa Maswahaba, Tabi’ina, na waliowafuata kwa wema.Salafiy Tz Islam Spirituality
Episodes
  • Kushikamana Na Kamba Ya Allah - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Katika episode hii, Abu Halima Arafat Mohamed anazungumzia maana ya kushikamana na Kamba ya Allah kama ilivyobainishwa katika Qur’ani na Sunnah, na umuhimu wa umoja wa Waislamu kwa mujibu wa mafundisho ya Salafus-Swâlih. Ni mwito wa kurejea kwenye haki, elimu sahihi, na mshikamano wa kweli wa Kiislamu.

    Show more Show less
    19 mins
  • EP01 - Vitenguzi Vya Uislam - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Sheikh Abu Halima Arafat, aukichambua vitenguzi vya Uislamu kwa mwanga wa Qur’an na Sunnah. Tafakari muhimu kwa kila Muislamu anayejali usahihi wa Imani yake.


    Show more Show less
    49 mins
  • EP02 - Vitenguzi Vya Uislam - Abu Halima Arafat Mohamed
    Jul 5 2025

    Sheikh Abu Halima Arafat, aukichambua vitenguzi vya Uislamu kwa mwanga wa Qur’an na Sunnah. Tafakari muhimu kwa kila Muislamu anayejali usahihi wa Imani yake.

    Show more Show less
    48 mins
No reviews yet